Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Tito Machibya, maarufu kama Nabii Tito kwa mahojiano kutokana na kusambaa kwa video zake katika mitandao ya kijamii zikionesha akifundisha huku akinywa pombe na kufanya vitendo vingine ambavyo ni kinyume na maadili. Moja kati ya mafundisho yake, ni kuwa pombe imehalalishwa na pia, mwanaume lazima awe na uhusiano na House girl wake maana ndivyo ambavyo Ibrahim pia alifanya.
Siku kadhaa nyuma kabla ya kumkamata, Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa Wizara ya mambo ya ndani, Martin Komba alisema hamtambui mtu anayejiita nabii Tito na kwamba hajasajili kanisa lake katika ofisi ya msajili wa taasisi za dini.
Tito Machibya bado anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa mahojiano Zaidi.
Unknown
This is a short biography of the post author. Maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec vitae sapien ut libero venenatis faucibus nullam quis ante maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec.
you may also like
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
social counter
[socialcounter]
[facebook][www.facebook.com/TOTALtransformation/][215K]
[twitter][www.twitter.com/Totaltransform9/][5K]
[youtube][#][635]
[instagram][www.instagram.com/Ttransformation/][1K]
Popular Posts
categories
recent posts
recentposts
No comments:
Post a Comment