SIKU 21 ZA MAOMBI

Siku 21 za maombi ya kufunga na kuomba kwa makanisa yote ya TAG nchi nzima. Yafuatayo ni mambo muhimu ya kuombea:-
  1. Jumatatu 22/1/2018, UTAKASO KWA KANISA ZIMA LA TAG - (YOEL 2:17. MDO 7:60)
  2. Jumanne 23/1/2018, KUOMBEA TAIFA LA TANZANIA (1NYAK7:14, 2TIMOTH 2:1-2)
  3. Jumatano 24/1/2018, BUNGE NA MAAMUZI WANAYOFANYA (ISAYA 33:22)
  4. Alhamisi 25/1/2018, MAHAKAMA NA VYOMBO VYA HAKI, (WARUMI 13:7)
  5. Ijumaa 26/1/2018, UCHUMI WA TAIFA
  6. Jumamosi 27/1/2018, PIGA VITA ROHO ZOTE OVU NCHINI (YEREMIA 1:10)
  7. Jumapili 28/1/2018, UAMSHO KATIKA TAIFA (WAEFESO 5:14-17)
  8. Jumatatu 29/1/2018, OMBEA KANISA LA TAG (MDO 12:5,12,8:15-17)
  9. Jumanne 30/1/2018, OMBEA KAMATI ZOTE ZA UTENDAJI NA MAASKOFU
  10. Jumatano 31/1/2018, OMBEA IDARA ZOTE KATIKA NGAZI ZOTE
  11. Alhamisi 1/2/2108, MAONO NA MAENDELEO YA MAKANISA YOTE YA TAG
  12. Ijumaa 2/2/2018, MAONO NA MIPANGO YA TAG
  13. Jumamosi 3/2/2018, OMBEA VYUO VYOTE VYA BIBLIA VYA TAG (MITH 4:13)
  14. Jumapili 4/2/2018, MIRADI NA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA VYUO NA SHULE
  15. Jumatatu 5/2/2018, UMOJA, UPENDO NA MSHIKAMANO (ZABURI 133:1)
  16. Jumanne 6/2/2018, ROHO ATUJAZE UNYENYEKEVU (1PETRO 5:6)
  17. Jumatano 7/2/2018, CONFERENCE KUU YA KANISA TAREHE 12/8/2018 - 18/8/2018
  18. Alhamisi 8/2/2018, UJENZI NA UPANUZI WA MAKISA YA SECTION, JMBO NA TAIFA
  19. Ijumaa 9/2/2018, MAHITAJI BINAFSI YA WASHIRIKA WA TAG (ZABURI 20:1-5)
  20. Jumamosi 10/2/2018, KANISA KATIKA BARA LA AFRIKA
  21. Jumapili 11/2/2018, SHUKRANI (KOLOSAI 4:2)


IMETOLEWA NA : TAG JIMBO LA MASHARIKI



Unknown
Unknown

This is a short biography of the post author. Maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec vitae sapien ut libero venenatis faucibus nullam quis ante maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec.

No comments:

Post a Comment