Shalom.
Nakualika katika ibada zetu za Neno na mafundisho za kila jumatano, ambapo kwa mwaka huu mzima 2018 kama kanisa, tumeanzisha utaratibu wa kusoma vitabu mbalimbali vya kiroho mbali na biblia, ili kuongeza maarifa zaidi.

Tulianza j5 iliyopita, kitabu cha kwanza kabisa kwa mwaka huu 2018 "MANABII na UNABII KATIKA KANISA LA LEO kilichoandikwa na JIM & CAROLYN MURHPY, na kesho tutakuwa tukiendelea, kusoma, kuchambua, kuuliza na kujibu maswali mbalimbali.
Ukitamani kushiriki kwa kufika nichek 0657670972 nitakupa maelekezo ya namna ya kufika.
#TAGPENUELLUHANGA
#ONGEZAMAARIFAPROJECT2018
#Betransformed
#ONGEZAMAARIFAPROJECT2018
#Betransformed
No comments:
Post a Comment