MEGA PRAISE
January 22, 2018Hii ni ibada ya Sifa na Kuabudu ambayo kikawaida huwa inafanyika kila January na July mara tuu baada ya kumaliza siku 21 za maombi ya kufunga na kuoba. Hivyo uongozi mzima wa Kanisa la CAPSTONE FELLOWSHIP, wanakualika katika Ibada hii maalum na ya aina yake kwaajili ya kumrudishia Mungu sifa, itakayofanyika Jumapili hii 28/1/2018 kuanzia saa 9 alasiri, pale kanisani kwao.
Usafiri utakuwepo kutokea kanisani kuelekea Makumbusho na Bunju. Usikose
By:
Unknown
Unknown
This is a short biography of the post author. Maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec vitae sapien ut libero venenatis faucibus nullam quis ante maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec.
you may also like
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
social counter
[socialcounter]
[facebook][www.facebook.com/TOTALtransformation/][215K]
[twitter][www.twitter.com/Totaltransform9/][5K]
[youtube][#][635]
[instagram][www.instagram.com/Ttransformation/][1K]
Popular Posts
categories
recent posts
recentposts
No comments:
Post a Comment