SABABU 20 ZA KWANINI HUTAKIWI KUKATA TAMAA

Sio mara zote utakapokuwa ukipita katika hali za kukata tamaa na kurudi nyuma utahitaji msaada kutoka kwa watu wengine. Mara nyingine mambo yanayotufanya tukate tamaa ni ya binafsi sana kiasi kwamba huwezi hata kuwashirikisha wengine.
Katika mambo kama hayo, ni muhimu sana kujitafutia sababu zako kadhaa za kwanini hutakiwi kurudi nyuma na kukata tamaa.

Sababu 20, ni matokeo ya mambo binafsi ambayo yalikuwa yakinirudisha nyuma na kunifanya nihisi kukata tamaa. Kwakuwa sikuwa nimeshare mambo hayo na mtu yeyote kwasababu ni ya kibinafsi sana, nilienda mbele ya kioo na kuanza kujitamkia ushindi, na kutafuta sababu 20 za kwanini sitakiwi kukata tamaa, ni hizi ambazo nitashare na vijana wenzangu kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, youtube na facebook ambazolink zake zipo katika blog hii.

#Sababu20
#2018betransformed

Unknown
Unknown

This is a short biography of the post author. Maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec vitae sapien ut libero venenatis faucibus nullam quis ante maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec.

No comments:

Post a Comment